a
1Fal 21:19
1 Kings 22:38
38
a
Wakasafisha lile gari la vita katika bwawa la Samaria (mahali makahaba walipooga), na mbwa wakaramba damu yake, sawasawa na neno la
Bwana
lilivyokuwa limesema.
Copyright information for
SwhNEN